Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
- Thread starter
- #61
Hahahahahahahahh haya bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahh haya bhana
Hahaha icho kijungu nyuma Ni og mkuuMkuu mwingine huyu[emoji116]
View attachment 413312hawa wanashindwa kujisaidia na kusaidiana wenyewe wanaposumbuliwa na hao mateja sasa wamebakia kuomba msaada kwa Makonda wakati vitu vidogo kama hivo wangevimaliza wenyewe kitaa!
Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.
Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone
Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.
Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.
Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.
Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani wanaume wa dar wanaandikaj?Hahaaaa, we jamaa upate hicho cheti uondoke maana hata mwandiko umeanza kuandika kama wanaume wa dar.
Hahaha wale wanapaa mkuu..we utashndana na mtu anayepaa?Nyinyi wanaume wa mikoani mbona mnaogopa wazee wenye macho mekundu sisi hatusemi kitu.[emoji15]
Wamebakia na wimbo huohuo kila uchao... "wanaume wa Dar" ndo habari ya washambani. Wanatamani waone mabasi ya mwendokasi lakini uwezo hawana... matongotongo bado yamewajaa machoni. Ujanja kwao ni kuchungulia matako ya ng'ombe na mbuzi. Vikwapa vinaachia harufu ya shombo la samaki.... KhaaaNdg wanaume hapa ukienda huko Buguruni wanaume wengi ndo wametokea huko kwenu kishapu,mwanhuzi,maswa nk,tatizo mkija mjini ndo waoga namba moja ujanja wenu mkiwa huko porini tu...huku mkija hata kuongea hamuwezi mnakoromewa na vitoto vidogo tu au labda sababu ya lafudhi mbovu labda.......Nakwambia na ujue waporipori km wewe ndo wanaifanya dar ionekane ya hovyo......jogoo la shamba huwa haliwiki mjini.....ujinja mkiwa huko gamboshi tu.
Mkuu wakikuskia mi simoDAR HAKUNA MWANAUME, WOTE NI WANAWAKE. Wamezaliwa wanaume lakini kichwani wanawake,
Smartphone zimefika mashambani, hata ukijibu unapoteza muda bure tu. Wachunga mbuzi wana muda sana wa mipasho.Hahahaha wanaume wetu wa dar mbona hamjibu
Mkuu pov linakutoka km umenyweshwa masabuni ya unga..Wamebakia na wimbo huohuo kila uchao... "wanaume wa Dar" ndo habari ya washambani. Wanatamani waone mabasi ya mwendokasi lakini uwezo hawana... matongotongo bado yamewajaa machoni. Ujanja kwao ni kuchungulia matako ya ng'ombe na mbuzi. Vikwapa vinaachia harufu ya shombo la samaki.... Khaaa
Huyo best wako katahiriwa au bado si rizki?Kuna best angu kaenda dar bhana anaogopa kuagiza ugali, teh eti meza zote watu wanapiga viepe.
Cc: naan ngik-kundie
Sabuni ya unga ndo magadi yangu.Mkuu pov linakutoka km umenyweshwa masabuni ya unga..
Pov la mwanaume WA Dar.Mda WA kubadilika mnao,anzeni leoSmartphone zimefika mashambani, hata ukijibu unapoteza muda bure tu. Wachunga mbuzi wana muda sana wa mipasho.
Chakula official kwa Dar Ni Chips.Uoni wauza chpz wanavyotoboaHuyo best wako katahiriwa au bado si rizki?
Kuna dadaako mmoja akirudi mashambani mumkague kinyeo chake... watoto wa mjini wamekigeuza kuwa kifanyio.Pov la mwanaume WA Dar.Mda WA kubadilika mnao,anzeni leo
Na hizo chipsi umesahau nyie wakulima ndo mnalima viazi. Wasipovila shangazi zako watakufa njaaChakula official kwa Dar Ni Chips.Uoni wauza chpz wanavyotoboa
Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.
Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone
Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.
Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.
Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.
Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..
Hawa wa mashambani tangu waliwe tigo na watoto wa mjini kila siku wanapeleka vilio vyao kwa wanaume wa mjini.Watu wa mbeya wanamfahamu mbabe mmoja alikuwa anaitwa jombi sijui nako kule ni dar?
Mkuu we huoni alivyoandika thread yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani wanaume wa dar wanaandikaj?
Hongera mkuu kwa kuajiriwa BAKITA...Mkuu we huoni alivyoandika thread yake