Wanaume wa Dar mnatia hasira

Wanaume wa Dar mnatia hasira

Kwa haya yanayoendelea itabidi nifunge safari nikaolewe mkoani...
Wanaume wa Dar me basi tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahah..wanadai wao Ni wasafi Sana,so wanashndwa kutoa misaada coz wanahisi watachafuka..
 
Ni ule ule wimbo wa kukosa...

Wengine utakuta wanawakanda wabeba mabox lakini ndoto yake anatamani naye afike huko...

Ndo kama hivi sasa, wachunga mbuzi eti nao wanawakandya watoto wa mjini...

Kumbe wanatamani japo siku moja walione soko la Kariakoo
Wazee WA chips zege,wavaa suluali za kubana,sweta mchana,miwani,beg mgongon,kutwa instagram mkipost vipicha vya kupindsha miguu..***** zenu
 
Unauliza tena mimi ni mwanaume wa wapi jamani?......Ningekuwa wa Dar wala usingeniona kwenye huu uzi,ningekuwa nimeshajificha mvunguni mda mrefu sana!.....Huku tuna rahaa sana kwa sababu tupo vizuri,juzi nimemlala girlfriend wangu hadi ameomba poo kwa sababu huku tunacheza show za kibabe mno,we play rough game like no body is business![emoji1]
Aiseee shem wangu nawe umetumia neno la kizamani eti kumlala kha!
Ndio useme sasa wewe wa mkoa gani?
 
Karibu mkoani dear!.....ila pleeeeeeeeease usiombe poo kwa sababu sisi huku show zetu ni za kibabe mno!....We play rough game like no body is business!!......papuchi ikiwaka moto usilete uzi wa mrejesho hapa please![emoji1] [emoji1]
Hahaha ikiwaka moto ndo safi...maumivu plus utam unapata utam zaid hehe
 
Umepotea njia. Unajua mjini kuna marinda ya kichina? Kwakuwa wewe ni mshamba huwezi jua unabaki ukijisifia tu. Toa tongotongo hizo, ushamba una mwisho wake.
Basi nipe dada ako mwny rinda OG
 
Watu wa mikoani ni watu wa ajabu sana,ngoja nikae kimya mana nna mengi sana juu yao,nikikumbuka siku ya kwanza kupanda gari naenda shinyanga sitasahau,lakini pia siku naenda kibosho moshi acheni tu.
Ulipanda gar gan mkuu.Em tuanzie apo
 
Sasa usitukane ovyo watu wenye mji wao.

Ite chiza gete, obese twamanilwe kobiza babehi ba masala gete, tute noo kebi, oleeta nya chilo chilo obebe.
Hahahah..iyoh lugha haipo kwny kamus ya ksukuma
 
Mwanaume mwingine halisi wa dasalamu [emoji116] [emoji116] [emoji116]
1475775920211.jpg
 
Mkuu em jenga pcha unashuhudia mtu anapofuliwa mbele yako na uwezo WA kumsaidia unao..dah hii n hatari sas
Bado nawafikiria hawa vijana wa daslam
Hivi walishindwa kujiunga hata wanaume 5 wampe mabeto ya kichwa?

Mnatia aibu kweli
 
Back
Top Bottom