Hahahah..wanadai wao Ni wasafi Sana,so wanashndwa kutoa misaada coz wanahisi watachafuka..Kwa haya yanayoendelea itabidi nifunge safari nikaolewe mkoani...
Wanaume wa Dar me basi tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wazee WA chips zege,wavaa suluali za kubana,sweta mchana,miwani,beg mgongon,kutwa instagram mkipost vipicha vya kupindsha miguu..***** zenuNi ule ule wimbo wa kukosa...
Wengine utakuta wanawakanda wabeba mabox lakini ndoto yake anatamani naye afike huko...
Ndo kama hivi sasa, wachunga mbuzi eti nao wanawakandya watoto wa mjini...
Kumbe wanatamani japo siku moja walione soko la Kariakoo
Wazee WA chips zegeUsiwashangae hao ndo wanaume wa dar ndo Tabia zao hizo!!
Aiseee shem wangu nawe umetumia neno la kizamani eti kumlala kha!Unauliza tena mimi ni mwanaume wa wapi jamani?......Ningekuwa wa Dar wala usingeniona kwenye huu uzi,ningekuwa nimeshajificha mvunguni mda mrefu sana!.....Huku tuna rahaa sana kwa sababu tupo vizuri,juzi nimemlala girlfriend wangu hadi ameomba poo kwa sababu huku tunacheza show za kibabe mno,we play rough game like no body is business![emoji1]
Hahahaha..mkuu mbona km nishawai kukuona Nyanhende shinyangaHata Mbezi kijijini tu kwa Wasukuma mliovamia mji.
Lekagi mamihayo nya chilochilo babehi.
***** hawafai....dah jina lako tu mi hoi...nnavowapenda wasukuma sasa dah....Hahahah..wanadai wao Ni wasafi Sana,so wanashndwa kutoa misaada coz wanahisi watachafuka..
Hahaha ikiwaka moto ndo safi...maumivu plus utam unapata utam zaid heheKaribu mkoani dear!.....ila pleeeeeeeeease usiombe poo kwa sababu sisi huku show zetu ni za kibabe mno!....We play rough game like no body is business!!......papuchi ikiwaka moto usilete uzi wa mrejesho hapa please![emoji1] [emoji1]
Basi nipe dada ako mwny rinda OGUmepotea njia. Unajua mjini kuna marinda ya kichina? Kwakuwa wewe ni mshamba huwezi jua unabaki ukijisifia tu. Toa tongotongo hizo, ushamba una mwisho wake.
Wewe ushalowea Mbezi, mimi hata nikiwa Shinyanga hutajua.Hahahaha..mkuu mbona km nishawai kukuona Nyanhende shinyanga
Mwanikeee,nzogosh lolo akaya tukwine ng'ombee..kashinagah..***** hawafai....dah jina lako tu mi hoi...nnavowapenda wasukuma sasa dah....
Amna nawait Chet nisepe zangu home..Wewe ushalowea Mbezi, mimi hata nikiwa Shinyanga hutajua.
Aiseee shem wangu nawe umetumia neno la kizamani eti kumlala kha!
Ndio useme sasa wewe wa mkoa gani?
Ulipanda gar gan mkuu.Em tuanzie apoWatu wa mikoani ni watu wa ajabu sana,ngoja nikae kimya mana nna mengi sana juu yao,nikikumbuka siku ya kwanza kupanda gari naenda shinyanga sitasahau,lakini pia siku naenda kibosho moshi acheni tu.
Sasa usitukane ovyo watu wenye mji wao.Amna nawait Chet nisepe zangu home..
Hahahah..iyoh lugha haipo kwny kamus ya ksukumaSasa usitukane ovyo watu wenye mji wao.
Ite chiza gete, obese twamanilwe kobiza babehi ba masala gete, tute noo kebi, oleeta nya chilo chilo obebe.
Umeniacha hahaMwanikeee,nzogosh lolo akaya tukwine ng'ombee..kashinagah..
Hahah Kisukuma icho.mbna kinaelewekaUmeniacha haha
Bado nawafikiria hawa vijana wa daslamMkuu em jenga pcha unashuhudia mtu anapofuliwa mbele yako na uwezo WA kumsaidia unao..dah hii n hatari sas