Wanaume wa Dar mnatia hasira

Wanaume wa Dar mnatia hasira

Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.

Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone

Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.

Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.

Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.

Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..
Kifupi wanaume wa dar wapo kama kuku wa kizungu hata ukimdondosha hakimbii hivyo anaweza hata kupigwa makofi mbele ya mkewe na asifanye lolote wapo wapo tu
 
Wanaume WA Dar wanapoanza kujitetea sasa.Ivi ile nyimbo ulomshirikisha bob junior mshaifanyia videos.Naskia kwny kichupa icho mmekata viuno sio kitoto
haswaa maana viuno ndo huleta watoto....wa mkoa mnatuharibia mji tu....style za Afande sele haziana nafasi huku...baki Malinyi ndg.
 
wanaume wa mikoa mjifunze kupiga mswaki mara mbili hadi tatu kwa siku ,mademu zenu tukiwa nao faragha wanawaponda kwa uchafu wenu....ni ngumu kumeza
 
Kwahiyo mnakubali kuwa mwanaume mmoja anadindishia wanaume wa mtaa mzima? wanaume zaidi ya mia mnahanya mbele ya chalii mmoja kisa anapiga taikondo? Pambafu kabisa, au kwakuwa dar hakuna mawe kwa street ni mchanga tu?
Hakuna kitu kama hicho huyo hajakutana na wababe na hao wa hilo eneo usikute ni jamaa wa hapo hapo wanajuana ingekuwa sehemu ingine angeshapigika
 
Hakuna kitu kama hicho huyo hajakutana na wababe na hao wa hilo eneo usikute ni jamaa wa hapo hapo wanajuana ingekuwa sehemu ingine angeshapigika
Watu humu wanapiga kelele tu ila huyo jamaa atakuwa mwenyeji tu laiti ujinga huo angefanyia nje ya hayo mazingira wala asingechomoka......watu wanaongea kijumlajumla tu ila hajakutana na maeneo ya watu waliopinda.
 
Hebu wapumzisheni hao wanaume wa Dar na nyie wa mikoani mwache kuja DAR kufanya uhalifu kwa kisingizio cha kuja kutafuta maisha, mkikwama mnaanza uhalifu.
 
Yap! Tena mwalimu wa Karate anakuwa na nidhamu ya hali ya juu, huyo ni muhuni tu hata huo mchezo wenyewe hajapitia, naweza sema kaangalia zile Movie za jack chan ndo akawa anafanya majiribio, binafsi nimecheza Kombat,wakati naanza nilikuwa napenda ugomvi lakini jinsi nilivyokuwa nazoea nikawa naanza kuogopa ugomvi ikafikia kipindi mtu ananitukana mimi nacheka tu kwa kumdharau, lakini mwanzo mtu alikuwa akiongea vijimaneno kidogo tu namwambia, "tupigane basi". Lakini sasa hivi nimekuwa mmoja wa watu wastaarabu sana, ila USINIJARIBU
Si ukuje nikujaribu
 
sasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
 

Attachments

  • 1475746110110.jpg
    1475746110110.jpg
    17.5 KB · Views: 26
Tatizo Buguruni Masaki kule Obey Askari wana Patrol usiku mzima huku Uswahilin kwenye maeneo Korofi hawaji mpaka wasikie CHADEMA wanataka kuandamana mutawasema Wanaume wa Dar kila siku halafu Dar tuna ndugu zetu jamani sasa mbona munawasema hivo
Sasa hilo la mtu kukabwa hadi kung'olewa macho nalo mnaangalia tu bila kufanya lolote eti mnasubiri Polisi waje?,unazijua foleni za Dar au unazisikiaga tu?Huo ni ujinga kama siyo uoga.
 
Back
Top Bottom