wanaume wa Dar mtatuua na lugha zenu

wanaume wa Dar mtatuua na lugha zenu

DON SINYORI

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
511
Reaction score
417
Daaaaah juzi kati bana nilipata dharura nikaibuka jijini DSM na nikafikia kwa jamaa angu tuliesoma wote miaka ya nyuma. sasa kwakuwa safari ilikuwa ya ghafla nilienda kwa jamaa bila ya accesories muhimu kama power bank na chaja.basi ikawa hivi

mimi: mzee naona simu inakata moto niazime chaja
yeye: 21002
mimi:duuuh,maisha ya dar ndo magumu mpaka kuomba chaja unanitajia hela nyingi kiasi hicho?
yeye: wewe 21002
mimi:kaka nisaidie simu inakata moto halafu natakiwa kwenye usaili
yeye: haina shida ww 21002
yeye:sasa hiyo hela si nanunua chaja mpya kabisa
yeye: nimesema 21002.

mara simu yenyewe ikazima chaji. baadae anarudi home ndo ananiambia kwamba ei kumbe ile 21002 alimaanisha ''tumia tu''
daaaah hizi akili za mwendo kasi bana.
 
Bora nisije tu huko Dar aiseeee, kwani hiyo 21002 ndio nini labda kwa mfano..[emoji16]
 
DAR KUZURI mikoani mtasubiri tu mnafundishwa hadi vifupi 208 jiji la wajanja DAR ES SALAAM
 
Back
Top Bottom