Wanaume wa Dar na kijimsemo cha "nasubiri Noah yangu" mnakera!

Samahani mkuu wa dar sio wote ni Bavicha. Wanaume wa Bavicha hata wa mikoani wanasubiri noah tu wameacha kufanya kazi kabisa.
 
Wana lumumba ndy mnasubiria Noah

Ova
 
Hahaaa, halafu umewambia ukweli yani wana vimisemo hadi kero utaskia jitu zima limekazana 'pambana na hali yako'
 
Samahani mkuu wa dar sio wote ni Bavicha. Wanaume wa Bavicha hata wa mikoani wanasubiri noah tu wameacha kufanya kazi kabisa.
Una mimba ya Bavicha bila shaka

Ukijifungua nistue

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hahaaa, halafu umewambia ukweli yani wana vimisemo hadi kero utaskia jitu zima limekazana 'pambana na hali yako'
Hahahaaa! llikuja na ile kila kitu "amazing" Naona hata baadhi ya Magazeti hukopi hivi vimaneno!!
 
Hivi wanaume wa Dar, mna matatizo gani mnadandia dandia vijineno neno kama wadada,

- Siyo kila kinachopita mnapita nacho, kuweni na akili basi
We endelea kusukuma mikokoteni huko bush... acha wanaume wahangaike na mikoko.
 
Hahaaa, halafu umewambia ukweli yani wana vimisemo hadi kero utaskia jitu zima limekazana 'pambana na hali yako'

Hapo red... mbona unakuwa kama waimba taarab?? Hilo cheko lina wenyewe...
images
 
Hivi wanaume wa Dar, mna matatizo gani mnadandia dandia vijineno neno kama wadada,

- Siyo kila kinachopita mnapita nacho, kuweni na akili basi
Hata wewe umedandia "Wanaume wa Dar" halafu unakandia kudandia maneno.

Unajuaje wanaosemahivyo ni wa Dar tu?
 
Back
Top Bottom