Wanaume wa Dar na kijimsemo cha "nasubiri Noah yangu" mnakera!

Wanaume wa Dar na kijimsemo cha "nasubiri Noah yangu" mnakera!

Hapo red... mbona unakuwa kama waimba taarab?? Hilo cheko lina wenyewe...
images
Duuuh!
 
Hivi wanaume wa Dar, mna matatizo gani mnadandia dandia vijineno neno kama wadada,

- Siyo kila kinachopita mnapita nacho, kuweni na akili basi
Mmhh sasa APA unawasema wanaume wa dar au unawasema kina dada
 
Hata wewe umedandia "Wanaume wa Dar" halafu unakandia kudandia maneno.

Unajuaje wanaosemahivyo ni wa Dar tu?
Ukiona mwanaume anafuatilia maisha ya mwanaume mwenzie ujue huyo si mwanaume bali si rizki
images
 
Mkuu pole pole aisee! Naona mada imekuchoma sana! Take it easy.
Hamna kitu, nachangamsha jamvi tu.... Peace.
Amani-Ndio-Mpango-Mzima.jpg


Tatizo huu utani wa jadi samtaimz unazidi... basi inabidi tufanye juhudi za kuupunguza kasi
 
Back
Top Bottom