Siyo umbea unakuta unapiga story za maaana mara unashitukia mwenzako kaanza jomoniiSasa naww unachat na mwanaume mwenzio umbea unategemea atakwambia maneno ya maana
Nimekuja juz mzazihujui kuwa wanaume wa dar tukishashiba chips zege tunahadithiana black panther?? mkuu au umekuja Leo dar
Mkuu unaundugu na jiwe???Kuna Puuzi moja juzi moja limeandika moja ya hayo maneno kwa kuni-quote nikamuangalia nikasema hiiiiiii!
Hivi kijana wewe upo kamili kweli?Aman iwe nanyi wapendwa
Oya wanaume wa dar mnazingua sana aisee
Yaan unachat na dume zima mara linaaza
Jomoniiii
Miseeeew
Waoooooo mara sijui nakojoa mimi
Oya wanaume wa dar achen ukuda tutaanzisha vita tuwauwe wote
Mnazingua
London boy
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu sana dar
Hahahaaaaaa et hiiiiiiKuna Puuzi moja juzi moja limeandika moja ya hayo maneno kwa kuni-quote nikamuangalia nikasema hiiiiiii!
NahisiWanaiga dada zao labda[emoji1][emoji1]
Hivi kiswahili cha maskani za wana wanaongea hivyo[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa dar utawajua tubaba zima linajiita london baby, si ushoga huo