Wanaume wa dar na maneno kama jomon,miseeew,nakojoa,wao

Wanaume wa dar na maneno kama jomon,miseeew,nakojoa,wao

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Oya wanaume wa dar mnazingua sana aisee

Yaan unachat na dume zima mara linaaza
Jomoniiii
Miseeeew
Waoooooo mara sijui nakojoa mimi

Oya wanaume wa dar achen ukuda tutaanzisha vita tuwauwe wote

Mnazingua


London boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujui kuwa wanaume wa dar tukishashiba chips zege tunahadithiana black panther?? mkuu au umekuja Leo dar
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Oya wanaume wa dar mnazingua sana aisee

Yaan unachat na dume zima mara linaaza
Jomoniiii
Miseeeew
Waoooooo mara sijui nakojoa mimi

Oya wanaume wa dar achen ukuda tutaanzisha vita tuwauwe wote

Mnazingua


London boy

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kijana wewe upo kamili kweli?
 
Ukiona unapiga story na mtu wa namna hiyo inabidi ujiulize mara mbili mbili, au wanaume wote wa dar ndio wanavyoongea hivyo??
 
Back
Top Bottom