Wanaume wa Dar na mbwembwe za kupiga mazoezi barabarani

Mtu akiwa hana hela anaweza akakuamini aisee!
Jiulize kwanini waheshimiwa wanaenda dodoma na kurudi Dar?
 
Wanawakimbia wake zao asubuhi asubuhi, kila siku kazini badala jumamosi wakae na wake zao asubuhi kurukuru barabarani na chamaana hakuna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umecatch kabisa yani. 🤦🏽‍♀️ Let people do whatever sails their boat, as long as it doesn’t sink yours. Waache watu warushe vitambi vyao na wewe pambana na bata wako na mahindi yako mabichi 🤭
 
Ulishawahi kuon mtu mwenye njaa anapiga tz bara barani?

Jogging is a sport, it is a game. Let people enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…