Wanaume wa Dar na mbwembwe za kupiga mazoezi barabarani

Wanaume wa Dar na mbwembwe za kupiga mazoezi barabarani

Wanawakimbia wake zao asubuhi asubuhi, kila siku kazini badala jumamosi wakae na wake zao asubuhi kurukuru barabarani na chamaana hakuna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii imeenda [emoji23]
 
Umesahau wanakuwa na maji makubwa ya kilimanjaro plus simu na earphones/headphones!!!japo sio wote ila wengi hufanya show off!
Hii ni kweli,mtu anakimbia ameshika maji lita moja na nusu mkononi na simu tatu, inashangaza sana
 
Haha sema umenichekesha kinacho washinda watu wengi sana hasa wanao taman kuwa na mwili mzuri ni kwenye kula

yani kitaalamu mazoez yana athiri aslimia 30% ya 100% katika mabadiliko ya mwili na hizo 70% ni muda wa kupumzika na chakula anacho tumia mwana mazoez

sasa mtu anakimbia Km 10 anaenda kunywa supu chapati 3 mchana wali nyama au ugali sembe nyama usiku ndio mke kapika kweli

sasa uyo mtu kweli ata badirika kweli?😂😂
 
Haha sema umenichekesha kinacho washinda watu wengi sana hasa wanao taman kuwa na mwili mzuri ni kwenye kula

yani kitaalamu mazoez yana athiri aslimia 30% ya 100% katika mabadiliko ya mwili na hizo 70% ni muda wa kupumzika na chakula anacho tumia mwana mazoez

sasa mtu anakimbia Km 10 anaenda kunywa supu chapati 3 mchana wali nyama au ugali sembe nyama usiku ndio mke kapika kweli

sasa uyo mtu kweli ata badirika kweli?[emoji23][emoji23]
Umesema vema mkuu, mtihani upo hapo,mtu ametoka kukimbia anapiga pepsi na supu na chapati mbili unategemea nini kitokee
 
Wivi tu unakusumbua...watu wa mikoani mna ushamba mwingi sana na wengi hamsafiri yaani we ukisafiri sana ni kuja Dar...zunguka miji na majiji duniani watu ni kawaida kufanya mazoezi na jogging etc.

Maisha ya sasa ni vyema kufanya mazoezi kuepuka wimbi kubwa la magonjwa yasiyoambukizwa..
Kwani mazoezi sharti ukimbie Barabarani? Kulima bustani nyumbani kwako haiwezi kuwa mazoezi tosha?
Nyie watu wa mjini mnanistaajabisha kabisa, utakuta mtu nyumbani kwake anauwanja mkubwa amepanda maua mengi halafu anakwenda kununua mchicha sokoni!!!
 
Back
Top Bottom