Wanaume wa Dar na mbwembwe za kupiga mazoezi barabarani

Picha tafadhali, usikute uliniona nafanya mazoezi. Unanitafuta nini mkuu, tuache watu tuishi na maisha yetu ya kuigiza hapa mjini.
 
Kwani mazoezi sharti ukimbie Barabarani? Kulima bustani nyumbani kwako haiwezi kuwa mazoezi tosha?
Nyie watu wa mjini mnanistaajabisha kabisa, utakuta mtu nyumbani kwake anauwanja mkubwa amepanda maua mengi halafu anakwenda kununua mchicha sokoni!!!
Inashangaza sana kwakweli
 
It's none of ur business, watu hawana muda wa kwenda gym, wenye maisha mazuri, insbidi watafute muda wa mazoezi, wewe maisha yako ni zoezi tosha,huna haja ya kufanya mazoezi
 
It's none of ur business, watu hawana muda wa kwenda gym, wenye maisha mazuri, insbidi watafute muda wa mazoezi, wewe maisha yako ni zoezi tosha,huna haja ya kufanya mazoezi
Mbona kama umekasirishwa
 
"..... wakati huko mjini Daslam nasikia kuna watu wanawekewa mapulizo tumboni ili wapungue uzito na vitambi, .."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…