Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
umempiga za uso mwanadare salaama aha ha aha ah ache kuwaponda wenzake., anatafuta kiki kwa pikipikiWe mwenyewe kama wa dar tu, wanaume wa mkoani hatujiitagi baby boy
We mwenyewe kama wa dar tu, wanaume wa mkoani hatujiitagi baby boy
Kinehe wamwiseHata mimi najiuliza huyu Beira baby boy eti ni wa mkoa!!! Tena Mkoromije wa hapa Mwanza!!!! Wanaume wa mkoa hatujiiti Baby Boy hata siku Moja; Tena Mkoromije!!! Eti Mkoromije ujiite baby boy!!!! Hapana hiki kijamaa kitakuwa cha wali nazi!!! hapo Ilala Boma!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sisi wa mkoa hatujisifii hovyo hovyo!!!! Sisi ni Vitendo tu Baaaassiii.
We mwenyewe kama wa dar tu, wanaume wa mkoani hatujiitagi baby boy
Kinehe wamwise