Wanaume wa dar na story na fiesta

Wanaume wa dar na story na fiesta

We mwenyewe kama wa dar tu, wanaume wa mkoani hatujiitagi baby boy

Hata mimi najiuliza huyu Beira baby boy eti ni wa mkoa!!! Tena Mkoromije wa hapa Mwanza!!!! Wanaume wa mkoa hatujiiti Baby Boy hata siku Moja; Tena Mkoromije!!! Eti Mkoromije ujiite baby boy!!!! Hapana hiki kijamaa kitakuwa cha wali nazi!!! hapo Ilala Boma!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sisi wa mkoa hatujisifii hovyo hovyo!!!! Sisi ni Vitendo tu Baaaassiii.
 
Kinehe wamwise
 
Back
Top Bottom