Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Juz palikuwa na tamasha la fiesta pale daresalama baada ta tamasha hilo kuzunguka mikoa karibia yote nchin tanzania
Tamasha hilo lilianzia arusha na pakafata musoma na majiji makubwa kama mwanza na mbeya
Tamasha lilipita kote huko na watu walisebuka kama kawa cha ajabu juz na jana wanaume wa dar kila dakika walikuwa wanakuja na uz kuhusu fiesta huu ni ushamba na uzwazwa mkubwa sana
Kila dakika wanalalamika kuwa wameibiwa showa sijui ilikuwa imepoa huuu ni urofa wa hali ya juu sana. Nyie si mliambiwa fika hapatakuwa na msanii wa kimataifa kipi kiliwapeleka na kuanza kuanzisha uz kila sekunde hapa
Mbona nyie wanaume wa dar mnapenda kulia lia sana aisee
Mlitoka mkiwa mumevaa na hizo nguo zenu za kupaja mapaja mkiongozana na mademu zenu wenye matako makubwa msio weza hata kuwagonga wakaridhika kutwa hao mademu wenu wanakuja mikoan ili tuwapige fresh
Tukisema wanaume wa dar ndo wanahalibu jf yetu kwa story zao za kipuuz tutakuwa tumekosea?
Achen ushamba bhana wanaume wa dar kama mliibiwa mliibiwa kivyenu achen kulalama lalama kama mademu
LONDON BABY