Wanaume wa Dar naombeni ufafanuzi kuna jambo hapa

Wanaume wa Dar naombeni ufafanuzi kuna jambo hapa

Dar tupo bize sana kusaka mapene, we unadhani hizo hela tunazowarushia huko kwa njia ya simu tungekuwa tunapika pika na kuosha vyombo tungepata hela, acheni uboya nyie...ndo maana mkijaga huku mnaishia kushinda ndani tu eti dar kuna mateja naogopa kukabwa...
 
kosa la mchapaji

, inaelekea uko vizuri kwa kiswahili masomo ya arts yalikuwa bora kwako
Nimesoma masomo ya sayansi, kuzaliwa pwani faida yake moja ni kujua lugha adhimu ya kiswahili.
 
Hehehe sisi tuliopanga dar hatupiki...tunavuta tu jirani anapika badae tunapata service nyingine chumbani
 
Back
Top Bottom