Wanaume wa Dar ndo maana mnaachwa

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
Kama video inavyoonesha wanaume wa Dar usharobaro mwingi mnashindia chips yai... Mkiachwa kelele nyingi kumbe mnapiga kidali moko then Chaliii alafu msiachwe... Vijana wa Mkoani wanapiga mihogo ugali dona... Msishangae kuona wake zenu kufunga safari mara kwa mara kusalimia Mikoani au kuchelewa kurudi wakija kusalimia mikoani mjue wanakuja kutoa genye [
URL]
 
Ha ha nitulie nione povu...
Nipeni ubuyu nile taratiibu

Chezea kumridhisha mwanamke ni bora ulime heka kumi.
Fake kelele na ukimpa pesa utaambiwa wewe kidume kumbe holaaaaa

Sio dar tuu hta mikoani wanAume wa ukweli mnahesabika
 
Huyo jogoo mdwanzi Kama ni wako mchinje ule nyama kaka. Hana faida zaidi ya kumnywa supu.
 
Hawa vijana sio kwamba nawaponda ila style ya maisha inawaharibu sana. Wengi wao wanaanza kufail kuanzia kweny vyakula walavyo.

Amini nawaambia vyakula vinaamua mengi ktk mwili wa mwanadamu.
 
Aisee huyu jogoo anaumwa kideli au kuna nini?
 
Video na wanaume wa Dar inauhusiano gani?

Japo ni kweli wanaume wa Dar ni wanaume wa hovyo sana.
 
Ha ha nitulie nione povu...
Nipeni ubuyu nile taratiibu

Chezea kumridhisha mwanamke ni bora ulime heka kumi.
Fake kelele na ukimpa pesa utaambiwa wewe kidume kumbe holaaaaa

Sio dar tuu hta mikoani wanAume wa ukweli mnahesabika
Masihara hayo.....[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Ha ha nitulie nione povu...
Nipeni ubuyu nile taratiibu

Chezea kumridhisha mwanamke ni bora ulime heka kumi.
Fake kelele na ukimpa pesa utaambiwa wewe kidume kumbe holaaaaa

Sio dar tuu hta mikoani wanAume wa ukweli mnahesabika
Mbona kumfikisha mwanamke simple sana? Kila demu lazima nimfkishe Kilimanjaro,yaan kuna huyo mmoja nilimpa dose mpaka akajinyea
 
Unajua hats Scorpion naye mwanaume wa Dar? Waacheni hao! nikirudi kwa jogoo, huyo yamemkuta ni bahati kakutana na type zake akiwa na tatizo la hypertension. Pressure imepanda ikachukua uhai.....nzi kufia kwenye kidonda!. Haya mambo hayana wa Dar ama wamikoani...kula vizuri na usiache mazoezi
 
Hivi we umeona wapi mwanamke anaridhika hahahahaaa
Wanawake woooote hawa mjini eti unataka umridhishe mwanamke ninja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Piga show fupi fupi ili uwapande wengi
 
Hivi we umeona wapi mwanamke anaridhika hahahahaaa
Wanawake woooote hawa mjini eti unataka umridhishe mwanamke ninja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Piga show fupi fupi ili uwapande wengi
Uwapande wamekuwa punda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…