MorTimer
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 1,195
- 968
Kama video inavyoonesha wanaume wa Dar usharobaro mwingi mnashindia chips yai... Mkiachwa kelele nyingi kumbe mnapiga kidali moko then Chaliii alafu msiachwe... Vijana wa Mkoani wanapiga mihogo ugali dona... Msishangae kuona wake zenu kufunga safari mara kwa mara kusalimia Mikoani au kuchelewa kurudi wakija kusalimia mikoani mjue wanakuja kutoa genye [
URL]
URL]