Wanaume wa Dar ndo maana mnaachwa

Wanaume wa Dar ndo maana mnaachwa

Waoneee kwanza.

Mkipigwa torque ya mda mrefu mnalalama kunakauka haraka then unachubuka.
 
Ha ha nitulie nione povu...
Nipeni ubuyu nile taratiibu

Chezea kumridhisha mwanamke ni bora ulime heka kumi.
Fake kelele na ukimpa pesa utaambiwa wewe kidume kumbe holaaaaa

Sio dar tuu hta mikoani wanAume wa ukweli mnahesabika

Hahaah mikoani hali si mbaya sana! Vijana wana vitambi hatariiii! Nimeshangaa sana
 
Back
Top Bottom