Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
hahaha. Pia ni wale wanaopenda kitonga, wanaogopa kununua makotena ya mapondaNi Wale wanaopigwa na mgambo wa jiji
Kweli mkuu wanaume wa Dar tunapenda sana kufyatuana na vibinti, tunaunga mkono kufyatua watoto wengiWanaume wa dar ndo wale wanaowajaza wale wanaojaa ward za kule 'leba'
nilisema hapo mwanzo kuwa wanaume wa ni wepesi kuchukia ... Hao wanao waonea donge ni wale wanaume ambao wazazi wao ni wa Dar ili wamepangiwa kazi mikoani sasa wanataman kurudi Dar ila wanashindwa ndo maana wanakuonea gereWanaume wa Dar ni midume shababi na smart inayoonewa gere/donge na wanaume wa mikoani.Ni wanaume kamili wanaojua kupambana na hali zao.Chipsi sio sumu mkuu.Halafu wanaume wa mikoani mind ya busness.
unapewa respect na wale wanaume wa DIZIM waishio mikoaniKila nikienda mkoa napewa respect ya ziada wakijua natokea dar
Kaoge kafaNenda komakoma ukamuulize KAOGE,
Au mtafute Le bolingoli p. a. k lekipisi
Wanakimbia panyaroadHabarini za muda wadau.
Mimi nimekuwa nikisikia tu mara ooh wanaume dar wanaume wa dar ila sijajua hao wanaume wa dar ni kina nani?
Ni wale wazaramo na wandengereko wapenda vigorodo?
Ama alohamia dar akakaa muda mrefu sana Mpaka akawa anaendana na mazingira yani akawa naye anakula chipsi milo mitatu,anasuka nywele,na kuwasuta wambea,na kinywaji chake soda,n.k
Au yule ambae anakaa dar hata kama hayajamuathiri mazingira ya hapo dar?
Au mwanaume wa dar ni yupi?
Naomba majibu wadau
Hahaha.....wanakuchora tuKila nikienda mkoa napewa respect ya ziada wakijua natokea dar
Hahaha....msemaji wa wavulana wa darWanaume wa Dar ni midume shababi na smart inayoonewa gere/donge na wanaume wa mikoani.Ni wanaume kamili wanaojua kupambana na hali zao.Chipsi sio sumu mkuu.Halafu wanaume wa mikoani mind ya busness.