Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Habarini za muda wadau.
Mimi nimekuwa nikisikia tu mara ooh wanaume dar wanaume wa dar ila sijajua hao wanaume wa dar ni kina nani?
Ni wale wazaramo na wandengereko wapenda vigorodo?
Ama alohamia dar akakaa muda mrefu sana Mpaka akawa anaendana na mazingira yani akawa naye anakula chipsi milo mitatu,anasuka nywele,na kuwasuta wambea,na kinywaji chake soda,n.k
Au yule ambae anakaa dar hata kama hayajamuathiri mazingira ya hapo dar?
Au mwanaume wa dar ni yupi?
Naomba majibu wadau