Wanaume Wa Dar Njooni Tujadili Haya Mashambulizi Kutoka Mikoani

Wanaume Wa Dar Njooni Tujadili Haya Mashambulizi Kutoka Mikoani

alvinroley

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
71
Reaction score
251
Ndugu zangu wanaume wenzangu tunaoishi na kufanya shughuli zetu hapa Dar, sasa hivi tumekuwa tunashambuliwa mno mitandaoni na watu wa mikoani hasa wanaume wenzetu wanaoishi mikoani na pia hata wanawake wa huko mikoani. Wamekuwa wakitudhikahi kuwa sisi tumekuwa laini laini, lonya lonya tusioweza kazi nzito nzito, tusiopenda kabisa kutoka jasho na kupenda kazi nyepesi na vitu soft soft. Imefikia hatua wanasema kuwa hata wanawake zetu eti 'hatuwawezi' tena kwa kuwa tumekuwa soft, hatuna nguvu na hatutaki kutoka jasho hali ambayo imetupelekea kuwa wazee wa 'nyundo moja' kwenye sita kwa sita then hapo ni kulala au bize na simu au kutazama mpira. Wanaume wenzetu wa mikoani wameenda mbali zaidi kuwa wanawake zetu siku hizi wanapanda mabasi kuwafuata wao huko mikoani kufuata 'show za kibabe' then wanarudi kwetu huku Dar. Inadaiwa wao ndio wazee wa kazi ngumu, wavuja jasho, wala dona na hawazijui kabisa chips ndio maana show zao ni 'Kazi Kazi'. Wanadai kuwa sisi hata kutembea siku hizi hatuwezi, yaan umbali mfupi kutoka Magomeni Mwembe Chai hadi Magomeni Usalama tunachukua bodaboda, bajaji au daladala na siku hizi tunarequest UBER tu inakuja fasta. Sasa ndugu zangu tunafanyeje? Ni kweli hilo tatizo lipo? Je Tuache kula Chips na Sembe? Na hawa ndugu zetu wa mikoani wazee wa dona tuwajibu vipi? Kwa maoni yangu naona hawa jamaa wamepotoka aidha kwa kuwaona wapaka poda kwenye video za muziki au bongo muvi sasa wanajua ndio wanaume wote wa Dar tupo hivyo. Mbona sisi ni mashababi tu na tunakamua kazi ngumu. Hivi mnafikiri haya magorofa marefu mnayoyaona kwenye tv huko mikoani yanajengwa hapa Dar si zege lile? Na wanaopiga kazi ni wanaume sisi. Huko mikoani msituchukulie poa kabisa. Hizo Video za muziki na bongo muvi nazoziona kwenye tv msidhani ndio wote. Kazi tunapiga na ndio maana tunawatumia pesa huko mikoani kila mnapotuomba
 
Ni kwanini watanzania wengi wanaoingia ndani ya jiji la dsm na kuweka makaz yao ya kudumu ni wengi kuliko wale wanaokuja mara moja na kurudi mikoa waliyotoka ?
 
hawana hoja wanaume wa dar... hakuna atakaekatiza.... kwanza nasikia 70% ya hao wanaume wa jiji lile wanaliwa 071****** kwaio sio wanaume tena ndio maana hawawezi kuja hapa wakati wameshapoteza sifa za kuitwa wanaume.
 
Una miaka mingapi? Watu wako kwenye wizi wa pesa za Taifa wewe unataka umjadili mwanamme mwenzako
 
Philipho wa ileje
Screenshot_2018-04-04-13-24-16-1.jpg
 
Hivi kama mtu umekuja dar kupata services,let say elimu,na wewe unakuwa ni mwanaume wa dar?
 
hawana hoja wanaume wa dar... hakuna atakaekatiza.... kwanza nasikia 70% ya hao wanaume wa jiji lile wanaliwa 071****** kwaio sio wanaume tena ndio maana hawawezi kuja hapa wakati wameshapoteza sifa za kuitwa wanaume.
Bila Shaka wewe mwenyewe utakuwa ni mmoja wapo wa Wanaume wa Dar, ulijuaje kama wanaliwa 071......kama sio mwenzao? ndio maana unajiita Pweza a.K.a mzee wa kujibust.
 
Lisemwalo lipo kama halipo bac laja,
Najaribu kufananisha matoz wa mikoani na hapa Dar bado naona
Kuna tofauti sana,
Matoz wa Dar ndio wanaongoza kuvaa milegezo
Ndiyo wanaongoza kuvaa hereni
Ndiyo wanaongoza kusuka nywele,
Dar ndiyo inaongoza kwa mashoga wengi,
Dar ndiyo inaongoza kwa wanaume wanaopaka poda,
Dar ndiyo inaongoza kwa wanaume wanaotumia Carolate
Dar ndiyo inaongoza kwa
Key Ba 100
Dar ndiyo inaongoza kwa wapenda kiki.
Jamani sasa hali hii tutakataaje
hizi tuhuma
Labda kuna ukweli.
 
Umesahau kusema pia Dar inachangia 60% ya pato la taifa.
 
hawana hoja wanaume wa dar... hakuna atakaekatiza.... kwanza nasikia 70% ya hao wanaume wa jiji lile wanaliwa 071****** kwaio sio wanaume tena ndio maana hawawezi kuja hapa wakati wameshapoteza sifa za kuitwa wanaume.

wew hata jina lako lina kutambulisha.
hiyo 071 nawew waliwa sio bure.
 
Bila Shaka wewe mwenyewe utakuwa ni mmoja wapo wa Wanaume wa Dar, ulijuaje kama wanaliwa 071......kama sio mwenzao? ndio maana unajiita Pweza a.K.a mzee wa kujibust.
Japo si mwanaume wa Dar, hapo umepiga ikulu, pweza kwa sisi wavuvi hapatikani mpaka achokolewe. Jina pweza kwa mwanaume si muafaka.
 
Hao wa mikoani achana nao wamevurugwa wanatafuta faraja kwa kutunanga sisi,waambie wakawaulize dada zao vizuri idadi ya mabao na kumbuka hao wanaopiga kelele mtandaoni siku ukienda mkoani ndio wa kwanza kugeuka KUWADI wako atakutafutia kila binti ndio roho yake itulie kwa kifupi makuwadi wetu wakiwa kwenye keyboard wanatuvimbia ila tukiibuka kule vichakani kwao wanaufyata.
 
Wanaume wa Dar ndo wanaongoza kwa kukimbizwa na vitoto vipanya road
 
Wanaume wa Dar wengi nguvu za kiume ni shida ndo maana mara pweza,mihogo na karaka barabarani...........etc
 
Back
Top Bottom