Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
[emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu huyo sio mwanaume ni bwabwa. Ndio wanaume wa Daslam hao. Fanya mbishe zako chap urudi mkoani wasije kukuambukiza huo uwaki wao.
Wapumzisheni jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utaambiwa unatafutwa mguu wa kuvalia sendoz na vile vipensi vyao vya kuishia mapajani,maana vingine hata magotini havifiki
Kwahiyo huyo jamaa anajifanya kama mawaziri na wabunge wetu ,maana wao wanafanyiwa hivyo vitu ,kusafishwa kucha kukatwa, massage, nk tena siyo na wake zaoLeo nimekutana na kituko cha mwaka aisee,nilikuwa maeneo ya sinza napata chakula cha mchana ghafla jamaa akaja na mtu anakibeg mgongoni akakaa kwenye kitu huku wakiangaliana
Baada ya muda akanyoosha mguu na kuweka kisturi kidogo kilichokuwa pale si akaanza kumkata kucha na kumsugua miguu.Dah yaani nimejiuliza maswali mengi sana ni kwamba yeye hawezi kukata kucha na kusugua miguu yake mpaka aje mtu tena mwanaume amsugue miguu, mimi najua hizo ni tabia za wanawake sasa mwanaume kusuguliwa miguu na kucha wapi na wapi au ndo staili mpya hapa mjini sisi hatujui.
Ila wanaume wa daslam sinza mmezidi kwa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usicho kijua ni usiku wa giza waheshimiwa 80% bungeni na mawaziri wetu wanafanyiwa hivyo vitu .Upuuz Sana jinaume Zima unasafishwa miguu na mwanaume mwezako kweli
Ngoja waheshimiwa bungeni wakusikie unawakashifu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama ujakaliwa kikao na makada chini ya komredi ShakaMkuu huyo sio mwanaume ni bwabwa. Ndio wanaume wa Daslam hao. Fanya mbishe zako chap urudi mkoani wasije kukuambukiza huo uwaki wao.
Ungemwambia mwenyewe.
Kinondoni unapajua au unapasikiaga tu?
Upuuzi sana jinaume zima unasafishwa miguu na mwanaume mwezako kweli
Kwahiyo huyo jamaa anajifanya kama mawaziri na wabunge wetu ,maana wao wanafanyiwa hivyo vitu ,kusafishwa kucha kukatwa, massage, nk tena siyo na wake zao
Fanya mbishe zako chap urudi mkoani wasije kukuambukiza huo uwaki wao.[emoji23]Mkuu huyo sio mwanaume ni bwabwa. Ndio wanaume wa Daslam hao. Fanya mbishe zako chap urudi mkoani wasije kukuambukiza huo uwaki wao.