Kama sio wewe pita mbalia sio mpk utypingWanaume wa dar mnaitwa huku
Dah mwenyekiti unaitisha kitao bila agenda!?wale vidume wote
watoto wa daslinga karibuni ktk jukwaa tulete maujuzi yetu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mmeshapata vitu vya kurejesha nguvu zenu?wale vidume wote
watoto wa daslinga karibuni ktk jukwaa tulete maujuzi yetu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
nguv huku nyingi km mawimbi y bahariVipi mmeshapata vitu vya kurejesha nguvu zenu?
Hivi Makonda alishaacha kuwatafuta mkuu...naona sahizi mnajinafasi mnaitana hata kwenye vikao.....!!!!!!!
Hii meseji ukiisoma utajua mi wa wapiSaint Ivuga ww wa wapi?
Hahahaaaaa kwaiyo ukawajibu tigo akili zako haziko sawaHii meseji ukiisoma utajua mi wa wapi
Walizoea kila siku mamesejiHahahaaaaa kwaiyo ukawajibu tigo akili zako haziko sawa
Alafu kwann unatumia tigo unawaelewa wanavokwambia jaza ujazwe[emoji125] [emoji125]Walizoea kila siku mameseji