Wanaume wa dar tukutane hapa!

Wanaume wa dar tukutane hapa!

Uzi mzuri sana huu....wanaume wamikoani msipite hapa
 
Mim qa mkoani wadar mna matatizo nyie
 
Ningependa kuona pia mnafubguliwa jukwa lenu kwa jina"Wanaume wa dar Forum"[emoji16][emoji16]

Sent from my Huawei mate 9
 
Wanaume wa dar mnaitwa huku, huko majumbani kila siku mmechoka kwa wake zenu na mnachokifanya hakionekani mkuje[emoji126] [emoji126]
 
Habai wakuu.
Kutokana na changamoto na hoja mbali mbali tunazopata kutoka kwa wenzetu wa mikoani naomba tutumie uzi huu kama sehemu ya kujadili hoja kwa nia ya kujikosoa, kuwaelimisha wenzetu wa mikoani, na kupokea pia ushauri wao tutakaoona unajenga ili heshima ya wanaume wa huu mji idumu

Asanteni Nawasilisha
 
Back
Top Bottom