Wanaume wa Dar Tunadhalilishana sana.Nimeshangazwa sana

Wewe nimekukubali....ni dar typical man. Haya bwana endelea tu ila usije lalamika kuwa huna nguvu za kiume.


sumbai,
 
Maji ya baridi yana imarisha uume. Na kuchangamsha mwili. Shauri yako. Mimi ni wa Dar,Iringa,Mbeya,Arusha,Rukwa,Ruvuma na sehemu zote zenye baridi.

Kwa hiyo nguvu za kiume zinaletwa na kutovaa jacket na kuoga maji ya moto?? We jamaa wamkoa gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushangaza, kuna mwanaume mmoja wa Darslam ameanzisha uzi wa azam ukwaju zile zinazo nyonywa na dada zao... Eti analalamikia umbo sio rafiki wakati anainyonya......teh[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeeh.....naye ananyonya ile kitu?😲😲😲😲 Wanaume tunazidi kupungua tutabaki wachache.

Cha kushangaza, kuna mwanaume mmoja wa Darslam ameanzisha uzi wa azam ukwaju zile zinazo nyonywa na dada zao... Eti analalamikia umbo sio rafiki wakati anainyonya......teh[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa mikoani wambeya Kama dada zenu,

Kwa hiyo mkuu, umepita Kariakoo sokoni kununua mbegu za mahindi ukaona watu wamevaa majaketi na koti ndio ukaamua ufungue uzi huku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…