Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nguvu za kiume zinaletwa na kutovaa jacket na kuoga maji ya moto?? We jamaa wamkoa gani??Wewe nimekukubali....ni dar typical man. Haya bwana endelea tu ila usije lalamika kuwa huna nguvu za kiume.
Kwa hiyo nguvu za kiume zinaletwa na kutovaa jacket na kuoga maji ya moto?? We jamaa wamkoa gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza, kuna mwanaume mmoja wa Darslam ameanzisha uzi wa azam ukwaju zile zinazo nyonywa na dada zao... Eti analalamikia umbo sio rafiki wakati anainyonya......teh[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeanzishwa na Martin Kadinda.