Wanaume wa Dar waamishiwe wote dodoma kije kizazi kipya shupavu

Miundo mbinu ya visaluni na vijisehemu vyao vya kufanyia mazoezi bado havijaimarika hapo dom kiasi cha kuwatosheleza watakapofika.

Pia upatikanaji wa pweza na kachori utawakwanza wengi na kuvunja ndoa zao.
 
Mimi nitajitolea kuwabeba kwenye lorry langu kuwapeleka Dodoma halafu tunaleta wanyantuzu wa shinyanga na wakurya ndio wakae dar
 
Wanaume wa ntuzu na wale wa ukuryani ndo wanaume pekee hii nchi ambao hawawezi vumilia ushenzi wa akina scorpion. Huyo anayejiita scorpion angekuwa huku kwetu kanda ya ziwa, angekuwa kashasahaulika kama aliishi duniani
 
Aaah kabisa mkuu
Any way hatujachelewa na mweshimiwa kashaliona hili kitambo
Mfike Salama Dodoma in advance
 
Mimi nitajitolea kuwabeba kwenye lorry langu kuwapeleka Dodoma halafu tunaleta wanyantuzu wa shinyanga na wakurya ndio wakae dar
Tena wasimamishwe kama njiti
Wima kwenye lori kwa trip moja libebe hata watu 200
 
[emoji119] [emoji119] kunywa soda moja hapo kibandani nakuja kulipa
 
Jamaa anachomwa visu kwa pozi, bodaboda, wauza kuku, wapita njia na wauza bidhaa sikoni wanaangalia tu, inawezekana walijua jamaa wanaigiza movie. Poor wanaume wa dar.
 
Sema Mungu alishasemaga hatawaangamiza ila dar palitakiwa pasafishwe mkuu
Hicho kizazi cha pichs ni nooma
 
Wabaki huko huko wamezoea kuvaa nguo za dada zao huku hatuwataki.
 
Hasira za kuchuliwa mke na wakaz wa Dar sasa we unasema hawana nguvu za kiume wape mkeo au bint yako by the way kuna bint wa mbeya anataka aje nimgegede mpaka anasema atanipa 0713
 
Kazi ya pweza hii!!!!!
 
It works! Sio Dar tu all township I have passed thru upuuzi huu upo....watu wanakufanyia ukatili then unaomba msaada nobody care!
Shit! Afta tukio sasa mambweha ndo wanajitokeza kukuuliza kulikoni! Kwa mifano michache Moro,Tanga,Arusha,Moshi huku Dar ikiwa ndo JAMBAZI KUU
 
Inauma mkuu
 
Miundo mbinu ya visaluni na vijisehemu vyao vya kufanyia mazoezi bado havijaimarika hapo dom kiasi cha kuwatosheleza watakapofika.

Pia upatikanaji wa pweza na kachori utawakwanza wengi na kuvunja ndoa zao.
Wakati pweza na kachori zipo kwenye mchakato, wataanza na mahindi ya kuchoma yenye ndimu na pilipili hayo pia ni mambo yao
 
Back
Top Bottom