Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

Duhh sasa ukimkuta katoka kuvinunua si utafikir ametoka kufanya shopping ya idd

Af anafika nyavuni Mara moja mpira unawekwa kwapan.
 
Hahaaa. Huu mpambano hauwezi isha leo wala kesho na mwisho wa siku inakuwaga ngoma droo.

Sababu sidhani kama wanaume wa Dsm pekee ndio wana hizo mambo hata mikoani zipo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Haya mashtaka mazito kweli kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja waje wa kujib
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ha haa! Hivyo viungo juzi juzi vimethibitishwa na serikali kuwa na ufanisi wa hali ya juu! Usividharau, ukifikisha miaka sitini-sabini huko utavihitaji maana mashine itakuwa haina nguvu ya kupanda Kitonga bila msaada wa viungo!
Vitapanda bei sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wamekupanda wangapi kwa kutumia viungo? Inaelekea una uzoefu nao na unawapenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…