Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

Wanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.

Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.

Hapo bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi na supu ya pweza. Bado hawajatafuta chumba chenye AC.

Yaani hapo akikosa kimoja show haikosi visingizio.
tumesajili nyingine rasmi mtakoma
 
Dah...kumbe ushakutanaga na mwanaume wa Dar [emoji15] [emoji15]
 
Ha haa! Hivyo viungo juzi juzi vimethibitishwa na serikali kuwa na ufanisi wa hali ya juu! Usividharau, ukifikisha miaka sitini-sabini huko utavihitaji maana mashine itakuwa haina nguvu ya kupanda Kitonga bila msaada wa viungo!
Duh! Nishaanza kuogopa uko uzeen...[emoji3]
hahahah wao wanaita booster
 
Wanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.

Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.

Hapo bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi na supu ya pweza. Bado hawajatafuta chumba chenye AC.

Yaani hapo akikosa kimoja show haikosi visingizio.
tatizo wanawake wa Dar mnajichubua sana hadi nyuchi zenu zinakua kama zimepigwa ganzi unaweza sugua lakini usisikie hamu..bora tuunge tu dudu zetu
 
Daaah!

Ila mihogo, karanga,bamia, walifunzwa na wa mikoani!
 
tatizo wanawake wa Dar mnajichubua sana hadi nyuchi zenu zinakua kama zimepigwa ganzi unaweza sugua lakini usisikie hamu..bora tuunge tu dudu zetu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa hiyo mnatafuta Apetite
 
Back
Top Bottom