kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
tumesajili nyingine rasmi mtakomaWanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.
Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.
Hapo bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi na supu ya pweza. Bado hawajatafuta chumba chenye AC.
Yaani hapo akikosa kimoja show haikosi visingizio.