Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

Wanaume wa Dar wanapotaka kufanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau

Wanyama wanapanda kweli. .sijawahi ona jike amelala chali kifo cha mende. [emoji13]
Mbuzi kagoma ni mkao km wanyama =kupandana
Kifo cha mende mwanaume anapanda juu ya mwanamke=kupandana
Mwanamke juu ya mwanaume =kupandana

Huo ndo msimamo wangu tunapandana
 
Muulize kapeace analijua vyema ana kivulana chake mpaka apate booster ya hiyo kitu ndio anapiga game.
Kwanza sijawahi kuliwa na kivulana naliwa na wanaume unawajua wanaume yale madume kweli hayo mengine wewe unayajua vizuri hadi umeyaanzishia mada
 
Kwanza sijawahi kuliwa na kivulana naliwa na wanaume unawajua wanaume yale madume kweli hayo mengine wewe unayajua vizuri hadi umeyaanzishia mada
Hapo usikute una kiben ten chako unakilia mingo mida flani ifike kikakufunue .
 
Wanaume wa Dar wanapofanya mapenzi wanakuwa na viungo kama wanapika pilau.

Mara KY Jelly, condom, mafuta ya massage, Vumbi la Congo, pembeni redbull au roobust, maji makubwa na Konyagi.

Hapo bado hawajala mihogo, karanga mbichi na nazi na supu ya pweza. Bado hawajatafuta chumba chenye AC.

Yaani hapo akikosa kimoja show haikosi visingizio.
Tutake radhi halafu nilengeshee dada yako aje kukusimulia
 
Haina shida. Washia kwwnye gia. Weka booster mzigo ufike. We jifanyr kidume ukaishie kuhema tu. Wanaume wa Dar tuna stress sana na tunasaka mpunga mno....hiyo miguvu tunaipata wapi?
 
Back
Top Bottom