Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

Wanaume wa Dar wanashindana urembo na dada zao!!!!

ukiwashauri ooh we mshamba hujui kwenda na wakati?? yanii kufanana na dada zenu.ndo usasa??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Tofautisha wakati, kila kitu na wakati wake, kwanini unatumia smartphone leo hutumii Simu za tochi ? Ishu ni wakati umebadilika, Mavazi ya mtu hayakuhusu kila mtu na Maisha yake hata wakitembea uchi unawashwa nini wewe ? Mlizaliwa siku moja mpaka uwashwe ? Endelea kuvaa nguo za viraka na suruali za marinda
Umezaliwa familia ya watu wachafu, Hata kuoga sidhani kama Unajua
 
pambeeee tuuu mtuache miaka laki

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Tofautisha wakati, kila kitu na wakati wake, kwanini unatumia smartphone leo hutumii Simu za tochi ? Ishu ni wakati umebadilika, Mavazi ya mtu hayakuhusu kila mtu na Maisha yake hata wakitembea uchi unawashwa nini wewe ? Mlizaliwa siku moja mpaka uwashwe ? Endelea kuvaa nguo za viraka na suruali za marinda
nadhanii maendeleo ya sayansi na tekinolojia,haya tufanyi tuache maadili mema.silazima uvae sketi mtoto wa kiume,etii ndo unazifu.mbona kuna vijana wanavaa jeans,t-shirt,raba kali.na wanapendeza.kama ww nikijana ishi kwa utamaduni stahiki!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
we ni mwana?? mwanume unaandika lugha gani hizi??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
ooho kumbe kuna lugha ya kike na ya kiume haki ckujua hizo za kike ni spelling gan ebu sema maana najua keyboard ni moja tu

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Hahahahaaaa....kumbe ndo mlivyo uko hahahahaahaaaa....!!!!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Umezaliwa familia ya watu wachafu, Hata kuoga sidhani kama Unajua
Sawa, mshindane na dada zenu kujiremba na kutikisa viuno, mkitangulizana na dada zenu mtu kutambua yupi ni mvulana na msichana inakuwa mtihani.Mkiambiwa eti watu hawajui kuoga na wachafu, mwanaume inatakiwa kuwa smart, nadhifu sio kujikoboa.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
wanaume wa dar bna.c ndo maana wakiona panya road wanajificha mpk kwenye uvungu wa IST

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.

Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .

Sasa nyie wanaume wa Dar mnataka kutonesha nini? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini!

Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend, sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.

Yahusu....wanaume wa Dar, Pwani.
 
Heheheeer. Haloooo

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
nadhanii maendeleo ya sayansi na tekinolojia,haya tufanyi tuache maadili mema.silazima uvae sketi mtoto wa kiume,etii ndo unazifu.mbona kuna vijana wanavaa jeans,t-shirt,raba kali.na wanapendeza.kama ww nikijana ishi kwa utamaduni stahiki!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Vaa majani ya migomba kama umeshikilia utamaduni
 
Kwa wanaume wa Dar imekuwa ni fasheni sasa mpaka kina Wolper wanawatongoza vijana was.enge wawashughulikie maana wamekosa wanaume wa ukweli. Kuwa mwanaume wa Dar ni ishu, kuna wanaokunywa maji ndoo mbili kwa siku ili wawe weupe.....yaani ma-Caitlyn Jenner wamezagaa kila sehemu haswa bongo fleva na movie.
 
Leo nikuwa kwa mama ntilie mmoja hivi maeneo ya magomeni,katokea mwanaume wa dar etii hawezi kula ugali wa Dona ni mgumu utamuumiza meno daaaah
 
Back
Top Bottom