wanaume wa Dar washamba sana

wanaume wa Dar washamba sana

wanaume wadar wengi maisha yao mbaya harafu wanatuponda wamikoani
wengi wanakula mlo wajioni mchana unapita. wanaishi kwenye nyumba mbovu kuliko hata sisi wamikoani.

Wale waonaoishi mbali kwenda mjini wanapata tabu nauli kwao nitabu
harafu wanatuponda wamikoani.
hawapendezi wanavaa masahati malefu hawapigi pasi. hawavai viatu wanasingizia joto kilasiku ndala

mkijakwetu mnajifanya wajanja
tunafahamu maisha yenu.wanume wadar wengi niwatu wakujisifu nenda nyumbani kwake chumba kimoja pazia ktkt unawatoto wa3

acheni ujinga rudini mikoani kunamaisha mazuri kuliko dar
mnataka sifa yakusema mnaishi far? hata mkifa mbaki huko huko tutakua tunakataa kuchimba makaburi.
Kula mlo mmoja ni ushamba?
 
* Harafu = Halafu.
* Malefu = Marefu.
 
jamaa una chuki nini kimekukumba ?

yani na fadhila zote tunazowafanyia mkija mjini bado unaponda ?

umesahau mkija mnavyosumbua tuwapeleke mliman city ? beach ? kigamboni ?
huoni mnavyotuvunjia ratiba zetu kisa kuwatembeza ?

Mkuu nikija nataka unipeleke nikalione lile sanamu lililobeba bunduki
Nalionaga kwenye Tv tu
Sijawahi kuliona mubashara[emoji1321]
 
wanaume wadar wengi maisha yao mbaya harafu wanatuponda wamikoani
wengi wanakula mlo wajioni mchana unapita. wanaishi kwenye nyumba mbovu kuliko hata sisi wamikoani.

Wale waonaoishi mbali kwenda mjini wanapata tabu nauli kwao nitabu
harafu wanatuponda wamikoani.
hawapendezi wanavaa masahati malefu hawapigi pasi. hawavai viatu wanasingizia joto kilasiku ndala

mkijakwetu mnajifanya wajanja
tunafahamu maisha yenu.wanume wadar wengi niwatu wakujisifu nenda nyumbani kwake chumba kimoja pazia ktkt unawatoto wa3

acheni ujinga rudini mikoani kunamaisha mazuri kuliko dar
mnataka sifa yakusema mnaishi far? hata mkifa mbaki huko huko tutakua tunakataa kuchimba makaburi.
Muda mwingine nahisi unafanya makusudi
Wanakula umepatia
Mlo u mepatia
Kuliko umepatia

Ila hiyo Harafu mhhhh

Basi ungeandika na hizo zingine wanakura, mro na kuriko

Tujue umeamua kujikuryalization
 
wanaume wadar wengi maisha yao mbaya harafu wanatuponda wamikoani
wengi wanakula mlo wajioni mchana unapita. wanaishi kwenye nyumba mbovu kuliko hata sisi wamikoani.

Wale waonaoishi mbali kwenda mjini wanapata tabu nauli kwao nitabu
harafu wanatuponda wamikoani.
hawapendezi wanavaa masahati malefu hawapigi pasi. hawavai viatu wanasingizia joto kilasiku ndala

mkijakwetu mnajifanya wajanja
tunafahamu maisha yenu.wanume wadar wengi niwatu wakujisifu nenda nyumbani kwake chumba kimoja pazia ktkt unawatoto wa3

acheni ujinga rudini mikoani kunamaisha mazuri kuliko dar
mnataka sifa yakusema mnaishi far? hata mkifa mbaki huko huko tutakua tunakataa kuchimba makaburi.
5 t unit Trott u tutakukumbuka uy Trtttyyt yyyy66tt
 
Attachments

5 t unit Trott u tutakukumbuka uy Trtttyyt yyyy66tt
F get 5ttgg g Habari Njema..!!

Kiwanja Kinauzwa Pugu Tsh. 3,500,000 ni Mita 20 kwa 22.
Kina Hati ya Mt a yy tna Halimashauri..!!

Takayehitaji Basi tuwasiliane 076694125907669412590766941259fg/0718495898.

Ahsante na Karibu. y tu titi F koikoiuooiit 5fttggk ffjuuy
 
Hoja imeeleweka, tatzo mwandiko mbayaaaa!! Km form one anajifunza kuandika kiinglish
 
Back
Top Bottom