wanaume wa Dar washamba sana

Kula mlo mmoja ni ushamba?
 
* Harafu = Halafu.
* Malefu = Marefu.
 
jamaa una chuki nini kimekukumba ?

yani na fadhila zote tunazowafanyia mkija mjini bado unaponda ?

umesahau mkija mnavyosumbua tuwapeleke mliman city ? beach ? kigamboni ?
huoni mnavyotuvunjia ratiba zetu kisa kuwatembeza ?

Mkuu nikija nataka unipeleke nikalione lile sanamu lililobeba bunduki
Nalionaga kwenye Tv tu
Sijawahi kuliona mubashara[emoji1321]
 
Muda mwingine nahisi unafanya makusudi
Wanakula umepatia
Mlo u mepatia
Kuliko umepatia

Ila hiyo Harafu mhhhh

Basi ungeandika na hizo zingine wanakura, mro na kuriko

Tujue umeamua kujikuryalization
 
5 t unit Trott u tutakukumbuka uy Trtttyyt yyyy66tt
 

Attachments

5 t unit Trott u tutakukumbuka uy Trtttyyt yyyy66tt
F get 5ttgg g Habari Njema..!!

Kiwanja Kinauzwa Pugu Tsh. 3,500,000 ni Mita 20 kwa 22.
Kina Hati ya Mt a yy tna Halimashauri..!!

Takayehitaji Basi tuwasiliane 076694125907669412590766941259fg/0718495898.

Ahsante na Karibu. y tu titi F koikoiuooiit 5fttggk ffjuuy
 
Hoja imeeleweka, tatzo mwandiko mbayaaaa!! Km form one anajifunza kuandika kiinglish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…