Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahahahaha haya mambo yana raha yake co kujifungia ndani cku nzima na subwoofer
Povu hiliHiyo hutokea pale wanaume wa mikoani wanapodhani maisha ya kubahatisha yanayotokana na ubongo kuendelea kusoma network ya 2G ndiyo uanaume wenyewe!!
Vipi jomba, 2G nini?!Povu hili
si unaona sasa wanaume wa dar mlivo wazembe ..mwanaume inabdi utembee kwa miguu inapobidi uendeshe baiskelWanaume wamikoani Dar kuna UBER. Najua hamjui UBER ni ninii. Uber ni mganga wa jadi maarufu , anawapeleka popote mda wowote..   View attachment 724121View attachment 724122
hahahahaha washajaa povuPovu hili
hahahahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Subwoofer imeharibu mambo mengi sana
Kipindi hicho ukiwa tunasubiri babu anakusimlia habar za kipindi cha ujana wake
Hahahaaa...wa dar wamekaa kizembe zembe magoigoi
Na wa Dar inawauma kugongewa wake zao pindi wanapokuja mikoaniHivi kuna shida gani wa mikoani na wa Dar au wa mikoani hawana Nauli za kuja Dar inawauma
Mwanaume inabidi ukimbie pale unapotaka kwenda. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wamikoani Dar kuna UBER. Najua hamjui UBER ni ninii. Uber ni mganga wa jadi maarufu , anawapeleka popote mda wowote..   View attachment 724121View attachment 724122
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa kunijibia mkuuNa wa Dar inawauma kugongewa wake zao pindi wanapokuja mikoani
Wanaume wote wa Dar wametoka mikoani au mikoani mnaamisha mikoa ipi au ndo wale wanaoishi porini kama fisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa kunijibia mkuu
mikoa mingine na majiji yote kasoro dar na moroWanaume wote wa Dar wametoka mikoani au mikoani mnaamisha mikoa ipi au ndo wale wanaoishi porini kama fisi