Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahahahaha haya mambo yana raha yake co kujifungia ndani cku nzima na subwoofer
Subwoofer imeharibu mambo mengi sana
Kipindi hicho ukiwa tunasubiri babu anakusimlia habar za kipindi cha ujana wake