Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
habarini wakuu.
kama kichwa cha habari kinavojieleza.
kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahNgoja waje
Mi nishakuja, Ngoja naye aje Dar ashangae manake anavoitaja....Ngoja waje
hahahahahahaHiyo hutokea pale wanaume wa mikoani wanapodhani maisha ya kubahatisha yanayotokana na ubongo kuendelea kusoma network ya 2G ndiyo uanaume wenyewe!!
kwan uongo mkuu we c unajua ni kwa mganga hapoHiyo ni umaskini huu,umaskini huu utaisha lini?
hahahahahahaha c kma kipind kipe cha scorpion mtu ananyofolewa macho wanaogopa kusogeaUnawakuta wanaume wa dar wako 10, wakisikia panya rodi wanakimbilia kujificha kwenye Vitz!
hahahaha nije dar nkutane na daraja la ubungo auMi nishakuja, Ngoja naye aje Dar ashangae manake anavoitaja....
hahahah wa moro na dar hawana utofaut nmewasahau bahat mbayaUmewasahau wa moro pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]View attachment 724086 wanaume wa mikoani watafikiri ilo shamba /shambani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu sana kiongozhahahaha nije dar nkutane na daraja la ubungo au
wa dar wamekaa kizembe zembe magoigoiHivi kuna shida gani wa mikoani na wa Dar au wa mikoani hawana Nauli za kuja Dar inawauma
hahahahaha haya mambo yana raha yake co kujifungia ndani cku nzima na subwooferHii inanikumbusha kipindi nikienda kumsalimia msela wangu babu beby yake babu ndio anatuandalia haya mambo