Wanaume wa Dar

Tofautisha mfumo wa maisha ya kwenu maporini (mikoani) na DSM we unalala saa 2 usiku huna pa kwenda na kesho saa 11 asbh unaenda kukata majani ya ng'ombe dume la DSM tunaanza kusinzia saa 6 usiku na saa 9 usiku tuko road tumetumwa pesa za kununua mazao yenu
 
Jitahidi uanze kujituma mwenyewe maana huo utumwa unao jinasibu nao si sifa njema.
 
kwel we upendodaima huna akili do not kurupuka cku nyngne hyo neno kila dk hutumika tu mfano kama kwenu kuna mtoto mdogo na anajisaidia mara kwa mara waswahili husema mtoto anakunya kila saa it doesnt mean that et kisa a day ina masaa 24 bac mtoto atakunya mara 24 teh teh unaonekana we ni muhamiaji nchi hi
 
role modal wa wanaume wa "dalisalama" ni ray Vincent kigosi,hemedi PhD, Bob junior bila kumsahau Ben kinyaiya. wanaume wengi wa "dalisalama" wanapenda mambo ya udaku
 
hilo la waganga wa nguvu za kiume ni kweli kabisa,huku mikoani sioni mabango ya nguvu za kiume,..ila dar yamejaa
ni fursa kwa waganga
 
Inasikitisha sana kuona nyie wanaume wa mikoani mkitujadili sie wa dsm kila siku halafu wanaume hawana hizo tabia nyie ni wavulana nadhani. Hivyo tunavyokula mnavitamani sema access navyo ni ngumu huko nanjilinji.
 
Inasikitisha sana kuona nyie wanaume wa mikoani mkitujadili sie wa dsm kila siku halafu wanaume hawana hizo tabia nyie ni wavulana nadhani. Hivyo tunavyokula mnavitamani sema access navyo ni ngumu huko nanjilinji.
Vipo ila huku vinatumika kama mboga ya dona
 
Wanaume wa mikoani ndo mnaokuja kiajiriwa na wanaume wa Dar.
 
Huo ni mtazamo wenu tu wanaume wa mikoani sissi wanawake wa dar wala hatuyaoni hayo kwa wanaume zetu
 
Endelea kuzoea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…