Wanaume wa dar??

Wanaume wa dar??

Msemo huu umekua maarufu saana wanaume wa dar kila jambo dhaifu dhaifu ukifanya huku bara unaambiwa usiwe kama wanaume wa Dar

Tatizo nini niambieni hapa wanaume wa Dar wamepungukiwa nini HASWA
Umeshasema ukifanya jambo dhaifu halafu unauliza tena tatizo nini?

Kweli watu wa ccm mnazo akili za kuvukia barabara tu..
 
Nataka kujua mambo gani dhaifu huko dar huku kijijini mtu dhaifu hawezi kulima wala kuwinda

Dar mtu dhaifu yupoje na hakuna mashamba nataka kujua
 
1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.

2. Huwa tunakula sana chipsi yai/ kavu na tunashiba kama kawa ila wa mikoani viazi kwenu ndiyo mboga ni akina nani wajanja?

3. Ratiba yetu tukiamka ile asubuhi ni movie kidogo, chai then mtaani kuzurura mchana ni chipsi na soda...jioni mahindi na pilipili mpaka kesho tena.

4. Tunakunywa Maji mengi kuliko nyie wa mikoani.

5. Tunajipenda na kunukia vizuri, tunafuga kucha, tunapaka nywele zetu dawa.

6. Kwenye kula papuchi kimoja tu baada ya dakika 1..fresh hatuna mbwembwe wala ligi kwenye mapenzi.

7. Tunajua kubana sauti ni tofauti na nyie wa mikoani sauti zimewakauka kama papuchi yenye sugu.

8. Unamjua kaoge? Mtafute atakusaidia kumtambua mwanaume wa Dar.

Hope utakuwa umeelewa Mkuu.
 
Ha ha ha ha ha ha WANAUME WA DAR KIBOKO
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu kweli we mutoto ya daslamu nmeipenda sana hii.
 
1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.

2. Huwa tunakula sana chipsi yai/ kavu na tunashiba kama kawa ila wa mikoani viazi kwenu ndiyo mboga ni akina nani wajanja?

3. Ratiba yetu tukiamka ile asubuhi ni movie kidogo, chai then mtaani kuzurura mchana ni chipsi na soda...jioni mahindi na pilipili mpaka kesho tena.

4. Tunakunywa Maji mengi kuliko nyie wa mikoani.

5. Tunajipenda na kunukia vizuri, tunafuga kucha, tunapaka nywele zetu dawa.

6. Kwenye kula papuchi kimoja tu baada ya dakika 1..fresh hatuna mbwembwe wala ligi kwenye mapenzi.

7. Tunajua kubana sauti ni tofauti na nyie wa mikoani sauti zimewakauka kama papuchi yenye sugu.

8. Unamjua kaoge? Mtafute atakusaidia kumtambua mwanaume wa Dar.

Hope utakuwa umeelewa Mkuu.
Uo ulimbuken au ujanja ndo mana mna zeekea kwa baba zenu nyinyi
 
PUPUCHI WANAIONA KAMA KITUO CHA POLISI/MAANDAMANO YA UKUTA(DKK 2 TU HAWAP MZIGON WANAEND KWENYE KIOO,THEN WANAMUULIZA MSICHANA(VIP GAME LILIKUW amazing?/ni sheeeeda,hatareeee/etc)
 
inaonekana we mgeni kidogo jf, karibu, ... hiikitu ya wanaume wa Dar ilishika kasi sana kipindi kile panya road wanafanya yao Dar, unakuta jianaume na ndevu zake linakimbia vitoto vidogo eti linaogopa. Basi ndio wanaume wa Dar in general wakaonekana dhaifu licha ya kupenda waonekane wajanja hasa kwa wanawake
 
Verified user alafu unaazisha thread ya kibwege kama mtoto wa form 1!! Peleka kule facebook watakujibu fasta zaidi.
 
Back
Top Bottom