1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.
2. Huwa tunakula sana chipsi yai/ kavu na tunashiba kama kawa ila wa mikoani viazi kwenu ndiyo mboga ni akina nani wajanja?
3. Ratiba yetu tukiamka ile asubuhi ni movie kidogo, chai then mtaani kuzurura mchana ni chipsi na soda...jioni mahindi na pilipili mpaka kesho tena.
4. Tunakunywa Maji mengi kuliko nyie wa mikoani.
5. Tunajipenda na kunukia vizuri, tunafuga kucha, tunapaka nywele zetu dawa.
6. Kwenye kula papuchi kimoja tu baada ya dakika 1..fresh hatuna mbwembwe wala ligi kwenye mapenzi.
7. Tunajua kubana sauti ni tofauti na nyie wa mikoani sauti zimewakauka kama papuchi yenye sugu.
8. Unamjua kaoge? Mtafute atakusaidia kumtambua mwanaume wa Dar.
Hope utakuwa umeelewa Mkuu.