Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
Umeshasema ukifanya jambo dhaifu halafu unauliza tena tatizo nini?Msemo huu umekua maarufu saana wanaume wa dar kila jambo dhaifu dhaifu ukifanya huku bara unaambiwa usiwe kama wanaume wa Dar
Tatizo nini niambieni hapa wanaume wa Dar wamepungukiwa nini HASWA
Bila shaka wewe ni mwanaume wa DarHuwa tunawagongea dada zenu na wake zenu wakija dar
Nataka kujua mambo gani dhaifu huko dar huku kijijini mtu dhaifu hawezi kulima wala kuwindaUmeshasema ukifanya jambo dhaifu halafu unauliza tena tatizo nini?
Kweli watu wa ccm mnazo akili za kuvukia barabara tu..
Sasa We jamaa umeona nini kwa huyo jamaa hadi Umtilie Shaka kwamba ni wa Dar [emoji12] [emoji12]Bila shaka wewe ni mwanaume wa Dar
1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.Nataka kujua mambo gani dhaifu huko dar huku kijijini mtu dhaifu hawezi kulima wala kuwinda
Dar mtu dhaifu yupoje na hakuna mashamba nataka kujua
Ha ha ha ha ha ha WANAUME WA DAR KIBOKO1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.
2. Huwa tunakula sana chipsi yai/ kavu na tunashiba kama kawa ila wa mikoani viazi kwenu ndiyo mboga ni akina nani wajanja?
3. Ratiba yetu tukiamka ile asubuhi ni movie kidogo, chai then mtaani kuzurura mchana ni chipsi na soda...jioni mahindi na pilipili mpaka kesho tena.
4. Tunakunywa Maji mengi kuliko nyie wa mikoani.
5. Tunajipenda na kunukia vizuri, tunafuga kucha, tunapaka nywele zetu dawa.
6. Kwenye kula papuchi kimoja tu baada ya dakika 1..fresh hatuna mbwembwe wala ligi kwenye mapenzi.
7. Tunajua kubana sauti ni tofauti na nyie wa mikoani sauti zimewakauka kama papuchi yenye sugu.
8. Unamjua kaoge? Mtafute atakusaidia kumtambua mwanaume wa Dar.
Hope utakuwa umeelewa Mkuu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu kweli we mutoto ya daslamu nmeipenda sana hii.1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.
2. Huwa tunakula sana chipsi yai/ kavu na tunashiba kama kawa ila wa mikoani viazi kwenu ndiyo mboga ni akina nani wajanja?
3. Ratiba yetu tukiamka ile asubuhi ni movie kidogo, chai then mtaani kuzurura mchana ni chipsi na soda...jioni mahindi na pilipili mpaka kesho tena.
4. Tunakunywa Maji mengi kuliko nyie wa mikoani.
5. Tunajipenda na kunukia vizuri, tunafuga kucha, tunapaka nywele zetu dawa.
6. Kwenye kula papuchi kimoja tu baada ya dakika 1..fresh hatuna mbwembwe wala ligi kwenye mapenzi.
7. Tunajua kubana sauti ni tofauti na nyie wa mikoani sauti zimewakauka kama papuchi yenye sugu.
8. Unamjua kaoge? Mtafute atakusaidia kumtambua mwanaume wa Dar.
Hope utakuwa umeelewa Mkuu.
Uo ulimbuken au ujanja ndo mana mna zeekea kwa baba zenu nyinyi1. Huku dar tunavaa modo(jinsi za kubana mapaja) watu wa mikoani hamuezi hizo mambo nyie ni washamba sana.
2. Huwa tunakula sana chipsi yai/ kavu na tunashiba kama kawa ila wa mikoani viazi kwenu ndiyo mboga ni akina nani wajanja?
3. Ratiba yetu tukiamka ile asubuhi ni movie kidogo, chai then mtaani kuzurura mchana ni chipsi na soda...jioni mahindi na pilipili mpaka kesho tena.
4. Tunakunywa Maji mengi kuliko nyie wa mikoani.
5. Tunajipenda na kunukia vizuri, tunafuga kucha, tunapaka nywele zetu dawa.
6. Kwenye kula papuchi kimoja tu baada ya dakika 1..fresh hatuna mbwembwe wala ligi kwenye mapenzi.
7. Tunajua kubana sauti ni tofauti na nyie wa mikoani sauti zimewakauka kama papuchi yenye sugu.
8. Unamjua kaoge? Mtafute atakusaidia kumtambua mwanaume wa Dar.
Hope utakuwa umeelewa Mkuu.
Mtu dhaifu ni kam wew apoNataka kujua mambo gani dhaifu huko dar huku kijijini mtu dhaifu hawezi kulima wala kuwinda
Dar mtu dhaifu yupoje na hakuna mashamba nataka kujua
Si kweli......wa kwenu wakienda mikoani ndio hawarudiHuwa tunawagongea dada zenu na wake zenu wakija dar