WANAUME WA DAR

Wanaume wa Dar ni wakarimu saaana!!
Ukarimu na unyenyekevu wa wanaume weengi wa Dar unasababishwa na UDHAIFU wao. Wanayafanya hayo ili kuficha mapungufu yao. Mbona stori zao ziko nje nje sana.

Ukitaka kuyajua haya ewe mwanaume wa mikoani, nenda Dar ukiwa smart na vijisenti vyako kiasi tu.

Kila demu yeyote simamia show vizuuri na maandalizi mazuri. At the end utajikuta geto kwako kama kituo cha tiba. Na hapo utasikia mengi sana.

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo udhaifu ni upi labda!
 
Ama kweli mwaka mpya na mambo mapya sababu si kwa kinyume hiki.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…