wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

So so true...na hakuna mahali palipoandikwa kuwa mwanaume unaekutana nae facebook ni muongo kuliko mwanaume unaekutana nae JF.... Ila kwa jinsi hiyo stori ilivyoenda,sina uhakika kama huyo mwanaume ana mapenz ya dhati.. anataka tu kamchezo,akishakulamba kwisha habari yako mamaa....

mbona watu tupo kote kote? Narudi fb
 
Hujui ukitongozwa ni ujiko

ujiko kwa nani sasa? Nafaidika nini zaidi ya kuchefuana! Sometimes kutongozwa tongozwa ni dalili ya kudharauliwa. Inaonesha product yako ni rahisi kupatikana. Lol.
 
Naombeni mnisaidie kidogo ili nipate kufahamu maana naona hii social network haina faida kabisa,
Mara ya kwanza tulionana fesibuku nililike picha yake hapo sasa ndo kosa baada ya hapo nikatumiwa namba mi sikuona hatari kwani nilichukulia kama social networking tukawa tunawasiliana alinialika nyumbani kwake sikwenda basi akanialika ofisini kwake.

Sikua na wasiwasi kwani nilijua ofisi ni sehemu yenye watu wengi hivyo hakuna baya linaloweza kutokea baada ya story za hapa na pale niliomba kuondoka akaomba anikumbatie bila hiyana nikakubali kumbe hilo ndo kosa langu hapo hapo mara akaanza na mabusu mara antaka na romance sikuweza kumkubalia ilibi nimng'ate kumbe ndo kama nilikua nampandisha hisia zaidi hakunielewa mara ulimi sikioni na kutaka kunichania blouse lakini sikukubali matokeo yake aliniumiza shingoni nikaondoka na alama.

Sio siri nilijuta sana ile siku na dakika hiyo hiyo nikadeactivate account yangu ili kujipa break kwanza,
Baadae alintumia message na kuniambia 'I love you' nikabaki najiuliza huko kunipenda ghafla kumetokea wapi au ndo love at first sight inavyokuwa?au alikua na kiu zake akataka kuzimalizia kwangu?
mimi sina hisia zozote juu yake zaid namuona kama rafiki embu nisaidieni mapenzi ndo huwa yanakua hivi?
wanaume wa fesibuku wanapenda kweli au wanataka kutimiza tu kiu zao?na ni sahihi kweli kupata mchumba fesibuku au mi sielewi

wanaume wa fb maana yake nini? We unadhan walioko mtaani ni tofauti na walioko fb, akili kumkichwa. Narudi fb
 
ahaaa..ww ukumpenda..ungempenda usingemwaga upupu humu...
 
ujiko kwa nani sasa? Nafaidika nini zaidi ya kuchefuana! Sometimes kutongozwa tongozwa ni dalili ya kudharauliwa. Inaonesha product yako ni rahisi kupatikana. Lol.

Sifa kubwa ya mwanamke ni kutongozwa kama hutongozwi lazima kuna gundu au unakasoro.
 
Sifa kubwa ya mwanamke ni kutongozwa kama hutongozwi lazima kuna gundu au unakasoro.

tafuta hii thread 'ukitongozwa ujue umependwa au umedharauliwa'. Niliongea hili swala. Nashindwa kukuwekea link maana nipo na mobile.
 
2linagwe nan? Coz2linagwe! Yapo mengi,kuna 2linagwe mwaipopo,2linagwe mwambene,2li,2li enhee we wanan?

Angalia mf. wa uandishi huu ndiyo common script za Fcbk huku Jf wenyewe wakongwe wanaulanije! Am back to story, ni hivi bi dada Mwanaume ni mwanaume tu hakunapo difference huyu mwanaume wa Jf na yule wa Fcbk! Awe mwanaume yuko katika tasnia ya uvuvi ama jasiriwamali haijalishi.
Kama hujamjapenda huyo mkaka fanya maamuzi lakini kwa minajili ya thread yako waonesha huyo mkaka usham'mind, sema tu unajibar'gguza! Oooh-maaama! (kwa melody sound ile ya kisharobaro)
 
Let have short story here--- sio wote unaokutana nao online are like that na sio wote unokutana nao face to face are good kwa muonekano wao so akili kumkichwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
tafuta hii thread 'ukitongozwa ujue umependwa au umedharauliwa'. Niliongea hili swala. Nashindwa kukuwekea link maana nipo na mobile.

Husn! Kwani avarage capacity ya mwanamke kutongozwa per day hua ni mara ngapi? Nipe maximmum & minimmum, itakayomfanya mwanamke ajione anauzika (up to date).
 
Husn! Kwani avarage capacity ya mwanamke kutongozwa per day hua ni mara ngapi? Nipe maximmum & minimmum, itakayomfanya mwanamke ajione anauzika (up to date).

binafsi sioni kama kutongozwa mara nyingi ina maana unauzika(mzuri). Hakuna mwanamke asiyetongozwa au mzima, kichaa, mzuri, mbaya, msafi au mchafu. Sometimes kutongozwa mara nyingi ni dalili kuwa wewe ni maharage ya mbeya yaani rahisi kupatikana. Ni dalili ya kudharauliwa. Kutongoza/kutongozwa kunahitaji heshima. Kama ambavyo mwanaume anajivunjia heshima kwa kutongoza hovyo ndivyo hivyo hivyo mwanamke anapoweza kunotice kuwa heshima yake imeshuka kwa kutongozwa hovyo.
 
Sio fb tu, kila kona wamejaa........hata humu wamo!! Akili yako tu best.....
 
Naungana mkono kabisa na The finest, fb sio mbaya hata kidogo na ukisema wanaume wa fb ni vibaya unakosea kwani sio wote. Isitoshe kuna njia nyingi tu za kukutana na mabaya kama hayo yakatokea pia so that was coincidence pole sana. Love does not ask why if you feel him study him.
 
Kwa kweli wanaume wengi wa JF hawako serious. Huu mtandao kwa watu wanaojua maana ni mzuri, ila wengi ni washamba si unajua wabongo. hivyo wengi interest yao ni ngono na sio mahusiano ya kudumu. Hivyo wadada mnaotumia JF kupata wachumba muwe waangalifu kwani wakweli wapo na waongo pia.
Take care.
 
Back
Top Bottom