This is the game of timing. Ulichokisema ni sawa kabisa and the vice-versa is true. Hata wanawake imagine mmekutana hata wiki haijaisha anaanza kukuomba hela. Boys kuweni makini.
In short ukiona mwanaume amekutongoza halafu akakuomba game any time soon, ujue kuna udhaifu kwako kauona au hicho ndio kilichomfanya akutongoze.
Kitu msichojua wanawake kuhusu sisi vidume ni kwamba, ninaweza kukutongoza kwa nia nzuri kabisa. Ila mazungumzo yetu na the way unavyo behave naweza ku conclude kua hapa ni penyewe au hakuna kitu hapa.
Sasa itokee niwe na conclusion nzuri ila nikiona hapa hakuna kitu huwa hatuwaambii wala hatuwapotezei ila tunataka walau tuchape ndio tukuache uende.
So be careful unapotongozwa. Kuombwa ngono inawezekana ni matokeo ya ulivyo jiweka. Nimekutongoza leo kesho kutwa unaomba pesa. Wewe unaweza kufikiri unanitega uone kama nitaweza kukuhudumia ila tafsiri yetu huwa ni tofauti kabisa. Kitakachofua nitakupa pesa unayoitaka ila huku nikiweka mazingira ya kupata game as soon as possible.
Win win situation