Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

siku hizi tushawagundua, mnatuweka kwenye friend zone mpaka tunazeeka na wakati wote huo unakuta unataka nikuhudumie wakati mzigo hutoi kwahyo kwa wajanja dawa ni moja tu hit and run 🏃🏃🏃
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Wiki tu, mimi kwa uzoefu wangu, demu kama niwakumla sipitishi siku mbili tatu, wengine masaa kadhaa tu toka tukutane nakula
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Wiki mbona nyingi ivi .....juzi kati bwana nlienda mbeya mjini kuna rafiki yangu yupo pale soko la mwanjelwa nika ingia banda la mpesa niwekewe pesa kwenye simu niunge dk nimchk mwwnyeji wangu , kufika yule dad's wa mpesa c nika mwomba namba kiutani huwezi amini alinipa ..... tulichti txt hazikuzidi 10 akaniuliza nilipo fikia nika mwelekeza mwisho alipo funga akatia timu ....... ngoja nifupishe nilimfaidi hadi asubuhi ukizingatia na kile kibaridi ndo basi tena safari yangu ikawa poa sana ........ nimeshangaa wew unasema hata wiki hamna , mmi nlifaidika siku ile ile
 
Siyo uwongo ....kuna dem nli mpata sehem bwana chakushangaza kwake tulikutana mchana usiku kesha anza kunita baby , mara birthday yake kesho , mara gesi imeisha , mara tukionana nimjie na zawadi yenyewe anakuopangia anataka zile nguo za mazoezi na viatu vya mazoezi ...... nilichoka
 
Unaweza usiombe ata pesa bado ukaachwa pia🤣🤣🤣...moyo kichaka oooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…