Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.

Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.

Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.

Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?

Thread zako ni za aina gani?

Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?

Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.

Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.

Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.

-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .

Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.

Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
 
Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani

Kwahiyo unataka kusema mwanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja wajee mm naogopa kutolewaa povu

Mwanaume anacomment neno "Jomoni" khaaaa hayo majaribu shooo mm akinipm nafunga vioooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…