Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh umekua mume wamtu tena!!!Hilo kundi la nne aiseee kuna watumishi
Waheshimiwa
Maboss yani watu wanene acha kabisaaa siri yangu na ngoja niache iwee siri maana nimeshakuwa mme wa mtu ya zaman hayana umuhimu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee RONDO yawezekana pm yakee imeandika "Memory full"Hahahaaaa et kwenye jukwaa la magar kwenye hilo jukwaa rrondo nahis huwa anapata pm za kufa mtu
Mbona mimi huwa nazungukia mmu na chitchat lakin napata pm hadi nataka kuifunga pm yangu
Shemela wew ulisema mtu akikupm tu kama ana pess unasikia harufu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]watajiju waache kualalamika na kuonea wivu couple.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini PM bana.....
Watu tunajibiwa email....
Jibu PM basi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sema kweliNina miezi 4 sijapata pm yoyote ata kwa bahati mbaya.
Vyuma vimekaza adi pm
MhMama Yeyoo hivi hii PM ndio kitu gani?
We ni mzoefu akiSms zinakuwa hivi
1:05
Mambo valentine
2:40
Habari yako mrembo
4:00
Mbona kimyaaa mamy
6:9
Nijibu basi nina shida na wewe
8:09
Nitext whastap +45456888
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeSms zinakuwa hivi
1:05
Mambo valentine
2:40
Habari yako mrembo
4:00
Mbona kimyaaa mamy
6:9
Nijibu basi nina shida na wewe
8:09
Nitext whastap +45456888
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]