Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Hahahaahaaa
Naona Demiss kaamua kufukunyua watu
Nimesahau shemKule kule kwa jana. Shemeji usijifanye una sahau
Natokea mtwara,hamchelewi kusema sina uraia nyinyi
Dah sijui nipo kidume dume sana maana sieleweki yaniHahahaha
Jeeez!!!! Aiseee msije kabisa mi niko matombo huku labda mje kula ndizi. Ha ha afu sikujua kama kuna nyuzi kama hiyo, we mfukunyuku sana aseee.Una kabur zur [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mambo yetu haya ya kuja kukupokea airport
Nawezaje kuharakisha upatikanaji wa Visa ya Canada au USA, help help!!
Hahaaaaaaaa!Hahahaaaa. Mkuu kwema?
Kuna sehemu ulinijibu nikahis wew ni ke ila sikutaka kuulizaDah sijui nipo kidume dume sana maana sieleweki yani
Id yako imekaa hivyoDah sijui nipo kidume dume sana maana sieleweki yani
Ni muda mrefu sana.Habari ya majukumu ndugu yangu? Ni muda sijawaona espy na anko Heaven Sent,wapo?Hahaaaaaaaa!
Mkuu wangu nilipokuona nikacheka Kimoyomoyo, kitambo sana.
Alafu yale mapinduzi yametufanya tuadimike humu.[emoji1] [emoji1]
Nafanyaje sasa sijui kuchagua kajina sex sex mwenzenuId yako imekaa hivyo
Ahsante.Poleeee kasafishe nyota yko karibu Msata kilingeni
Yuweeeee!Kabisaa ila kjna muda unajisikia kumchora tu ila naangalia na Id
Kweli bullshit angalia kabur lako hapa unataka kutongozwaa nan aje na comment yako ya ajabu:Bullshit,
Mimi ni ke jamaniKuna sehemu ulinijibu nikahis wew ni ke ila sikutaka kuuliza