kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Sasa na wewe kwenye huo uzi hua unaenda kufanya nini? Au na wewe hua unaweka mzigo.Ndo huo huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na wewe kwenye huo uzi hua unaenda kufanya nini? Au na wewe hua unaweka mzigo.Ndo huo huo
Usijali mwaya ila usishangae kuitwa me siku nyingineNafanyaje sasa sijui kuchagua kajina sex sex mwenzenu
Kitu kikanasaaa hapo hapo
Mchakato wa nini tena mkuu? We si ni kiongozi wa CHACHAWA? Au ndo upepo umepita[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa... Ngoja na mimi nitafute namba ya simu ya UK nianze mchakato! [emoji1][emoji1]
Hahahaha dah ndo na pm sipati sasa maana me wanahisi dume lenzao ke nao mnahisi hili dume wacha nipambane na ID yanguUsijali mwaya ila usishangae kuitwa me siku nyingine
Ananifundisha kubetSasa na wewe kwenye huo uzi hua unaenda kufanya nini? Au na wewe hua unaweka mzigo.
Maombi ya nini tena shemeji? Pepo mbaya alipita eeh!!Nimesahau shem
Halafu jana ulikuwa wapi?tulikuwa tunataka maombi[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kuon hili kabur lakoo nikaogopaa sna ndugu yangusorry mkuu, mi npo kundi gan? Maana si haba angalau unanijibu pm zangu.. Cha kusikitisha tupo wote mtaa mmoja hapa dom makao makuu, ila hutak tuonane Demiss
Kumbe, hongereni mi sio mtu wa soka kiviile ndo maana huwa nauruka kama siuoni.Ananifundisha kubet
Safi kabisa God is good!Ni muda mrefu sana.Habari ya majukumu ndugu yangu? Ni muda sijawaona espy na anko Heaven Sent,wapo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa... Ngoja na mimi nitafute namba ya simu ya UK nianze mchakato! [emoji1][emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.
Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?
Thread zako ni za aina gani?
Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?
Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.
Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.
Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.
-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .
Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.
Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Huyu mbona karudisha kadi tangu jana?Mchakato wa nini tena mkuu? We si ni kiongozi wa CHACHAWA? Au ndo upepo umepita[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajui huyo hivyo viemoj vimechangia mumu kukupenda,.aseee kama ni hivo vimidoli acha tu kuendelee kuwa na ukame..[emoji20][emoji20]
Mumu wangu atapalowanisha [emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka pm??Hahahaha dah ndo na pm sipati sasa maana me wanahisi dume lenzao ke nao mnahisi hili dume wacha nipambane na ID yangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gyule yani guaaa naseka iteee nantendeeeeUshemeji wane nwaso mulogi, ujile kukulisha mintunga. Lakini kula musua wane sana ila nkolo itite usungu sana, ali ukukongile yani mpaka numugomba? Lakini mpandi isulile ondo. Nagombile du numugila ka lukani.
Ka kudume PM za ananso